MUZIKI UNALIPA.TAZAMA PICHA ZA NYUMBA YA NYOTA NDOGO
Nyota ndogo alifanya kazi kama mfanyikazi wa
nyumbani a.k.a maid. Alipojitosa tu kwenye ulingo wa muziki basi maisha
yakamgeukia na kumtunuku. Kwa bidii, ushupavu na uvumilivu leo tazamani
alikofika....
Hongera sana Dada
ReplyDelete