KUTANA NA MR. MEDU
Medu ni msanii aliyevuma sana kwa kibao kinachoitwa Nimeku kama chiz. Ni kibao kilicho mfahamisha kwa wengi na hata kila pembe zote za kenya. Kwa sasa anamiliki company yake mwenyewe ambayo inafayahamika kama Malindi Movie Magic. Medu ni mmoja kati ya ma video editor wanaofanya vizuri mjini Malindi.
Big up Malindi Superstars
Comments
Post a Comment