HAPPY BIRTHDAY SIS P.
Diva anayetamba kwa sasa kwa video yake kali 'tabasamu' inayotetemesha chati za muziki wa Kenya;Sis P asherehekea siku yake kuzaliwa leo. Tulipowasiliana naye mrembo huyo wa tabasamu alitueleza kuwa party yenyewe itakuwepo leo na itakuwa an invites only affair ama Card affair. Kwa masela wa mtaani kama mimi 'card affair' yamaanisha mpaka uwe na invitation card kama mwaliko. Vilevile dada huyo alidinda kutuambia miaka yake na kudai yupo 'twenty something'.
Twamtakia kila la kheri!
Comments
Post a Comment