NO MORE MUSIC FAVOURS FROM DADDI Q!
Mkali wa mtindo wa Dancehall na hiphop anayetokea Ukunda ila kwa sasa yupo jijini Nairobi anapofanyia muziki amekuja wazi na kusema yaliyomsibu. Daddi Q aliyetamba kwa vibao kama Nakuita,Tumerelax,Downtown Mombasani na vinginevyo alisema kuwa amechoka kusaidia wasanii kimuziki.Yaonekana sasa yuataka mambo ya nipe nikupe si mambo ya bure kama wasanii wengi wa pwani wanavyopenda.
Daddi Q alinakili haya kwenye ukurasa wa Facebook....."SINCE MY DAUGHTER WAS 3 TILL NOW SHE'S 10 YEARS I'VE BEEN HELPING PEOPLE RECORD FREE MUSIC TO FREE VIDEOS BUT NOW ITS ENOUGH PEOPLE HAVE USED ME FOR LONG, SOME HAVE USED MY IDEAS N CREATIVITY TO EARN FAME N CASH FROM TODAY I PUT A FULLSTOP NO MORE FAVOURS..NKT" Waliozoea vya bure habari ndio hio.
Comments
Post a Comment