JAMII YA WAIGIZAJI WA PWANI;COLLYWOOD YAOMBA KUTAMBULIKA KWENYE TUZO

Waigizaji toka mkoa wa pwani wamejitokeza na kuvunja ukimya wao. Kama vile Hollywood, Bollywood,Nollywood,Tollywood Machawood, sasa wapwani nao hawawachwi nyuma. Jamii ya waigizaji ya wapwani almaarufu COLLYWOOD imekuja bayana kutangaza msimamo, maudhui na malalamishi yao. 
COLLYWOOD inataka kupewa tuzo au kutambulika kwenye tuzo zozote za pwani na Kenya nzima kwa jumla.Vipindi vya kukata na shoka vinavyotambulika kwa sasa ni kama MOMBASATI kwa QTV,SAIDA kwa CITIZEN TV na AROSTO kwa K24 TV. 
COLLYWOOD walikuwa na haya ya kunena........"Mwaka huu ingekuwa sawa kama nzumari na Coast music awards waanzishe kitengo cha tuzo la actors, actress ,directors na wengine wanahusika na mambo ya filamu......"

Comments

  1. i thnk it won't make sense...kama coast music awards,its clear ni awards za music,anythng to do with music.....the only thing ni kuanzishwe tu awards za kipekee ,kama vile KALASHA awards,OSCAR awards zetu hapa coast za waigizaji wetu...ni changamoto kwa washikadau wote wanaosapoti vipaji, kufikiria nn chakufanya na kuwatambua waigizaji wetu.....collywood tunawakubali sana!!

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA