UWEZEKANO WA GRIPMUSIK KUSAJILI WAWINDAJI MUSIC DUO/
Wawindaji ni kundi la wasanii wawili
mandugu HC na SD wanaotokea Mombasa.Wawili hao wanaofanya muziki wa RnB
na maloveydovey yasemekana kuwa ipo nafasi ya wao kusajiliwa chini ya
Gripmusik inayoongozwa na msanii Daddi Q. Tangu Gripmusik ihamie Nairobi
imekua na ufanisi mkubwa sana. Grip imefanya kazi za kuandaa video na
kurekodi muziki ambazo nyingi zimefanikiwa. Vilevile tumeona ushirikiano
wao na Boomba videos, Evolution media, Bamboo, Juliani, Dj Mantix na
wengineo.T
ulipowasiliana na Daddy Q alitueleza kuwa angelipenda kuwasajili Wawindaji kwa sababu wana talanta kubwa ambayo bado haijatumika vizuri.
ulipowasiliana na Daddy Q alitueleza kuwa angelipenda kuwasajili Wawindaji kwa sababu wana talanta kubwa ambayo bado haijatumika vizuri.
Comments
Post a Comment