Posts

Showing posts with the label Film

PIGA KURA KWA REDIO SHOW BORA ZAIDI KUONA PWANI HAPA!!!!!

Image
Pwani Usanii Blogspot inafanya Survey ama upelelezi wa redio show kali zaidi mkoani Pwani. Je wewe hupendezwa Na show gani kati ya hizi : --->>> A. KAYA FLAVAZ YA RADIO KAYA B. MWAKE MWAKE YA PILIPILI FM C. MMU(MASHAV MASHAV) YA PWANI FM D. MZIKI MZUKA YA BARAKA FM BONYEZA HAPA>>>>>>>UPIGE KURA------ >>>>> https://strawpoll.com/wd848yad#.WW-YUuLanaU.facebook - - - - - - - - - - >>>>>>>KISHA WAWEZA TOA COMMENT YAKO. MWAMBIE MWENZIO PIA!!!!!!!!

PATA KUMFAHAMU POUL IBRAHIM KWENYE ULINGO WA MODELING.

Image
Pwani Usanii: Jina lako wajulikana kama nani? Poul Ibrahim:Poul Ibrahim PU: Tueleze kiasi kuhusu maisha yako ya utotoni. Poul Ibrahim:Nilizaliwa Likoni,mitaa ya Kiwerera pale Karibu na flats. Nikasomea Likoni Muslim primary na kujiunga na Pwani secondary school. Hapo ndipo nilianza kufanya uigizaji kwenye tamasha za drama na music. PU:Vyema kabisa. Katika uigizaji labda ulipendezwa na nini? Poul Ibrahim: Nilipendezwa sana na vile nilivyokua najieleza mbele ya umati na vilevile nilikua dancer mkali sana. PU:Na labda ulianza lini mambo ya modeling? Poul Ibrahim: Modeling nilianza high school ila sikua serious serious sana hadi nilipomaliza shule kwa sababu ya masomo. Nilipomaliza masomo hapo ndipo nilipojimwaga uwanjani. PU: Wewe kama model wa kiume umefanya mambo kama yapi? Poul Ibrahim: Nimekua kwenye mashindano na tamasha tofauti za modeling na vilevile nishakua kwenye advertisements za kampuni moja-mbili hivi. PU: Lengo lako kuu hasa ni nini? Poul Ibrahi...

DONDE KUTOKA KWA UTANGAZAJI HADI KWA UTETEZI WA WANANCHI.

Image
Alianza utangazaji zamani na wengi wetu twamfahamu kutoka enzi akiwa Baraka FM. Donde Samora,mtangazaji mcheshi anayependwa na wengi kwa weledi wake wa kuongea na kuweka mambo wazi aliamua kujiunga na siasa na wengi walijiuliza maswali yaso majibu.... Donde,ambaye alitetea sana vipaji vya wasanii hasa wanaoibuka aliamua kuingia siasani sio kwa minajili ya manufaa yake mwenyewe bali kuwahudumia wananchi wa eneo la Junda na kuwapa mkono vijana wa Pwani wazidi kukua kimaisha. Katika mikutano ya siasa,jamaa huyu huwa sio mwingi wa maneno vile ila katika project z kusaidia jamii hapo ndipo utakapo muona mstari wa mbele akisaidia kwa hali na Mali. Ama kweli sio kwa utangazaji pekee ambapo Donde amebarikiwa bali hata kutetea haki na kuhimiza maendeleo ya jamii ndiposa wanaJunda wamempa jina MTETEZI WA WANYONGE!

COAST FILM FESTIVAL AWARDS 2016 WINNERS(PHOTOS)

Image
Courtesy of Sammy Samora (254 FILMS.) 1.Best Sound Mixing, ZILIZALA. 2.Best Lighting, Kelvin Kavita Kavitz in THE RULER. 3.Best Coastal Theme,JINAMIZI. 4.Best Overall Film ZILIZALA, directed by Anguka Daudi. 5.Best Supporting Actor, in ZILIZALA. 6.Best Supporting Actress. 7.Best Original Script, for THE RULER. 8.Best Editing, Anguka Daudi for ZILIZALA. 9.Best Kenyan film, KIZINGO produced by Betty Kathungu-Furet and directed by F Simiyu Barasa. 10.Lifetime Achievement Award, to Likobe. Photography by Sammy Samora for 254 FILMS. More photographs........

ARE YOU A MUSIC ARTISTE??? HERE IS A CHANCE FOR YOU TO SHOOT A MUSIC VIDEO!!!!

Image
CALL0717433410 Wizzoh Classic Empire is a full service multimedia and video production company in Likoni Mombasa county.This video production company has all your video production needs under one roof. Whether for corporate, industrial, commercial or legal, training, marketing or entertainment, Wizzoh Classic can take your video from concept to completion. CALL 0717433410 Starting with pre-production, the staff will meet with you to discuss your video needs and determine the best way to fulfill them. Some of the many individual services offered in pre-production are storyboards, script writing and location scouting. CALL 0717433410 Productions can range from a simple one camera production to a complex multiple camera production and anything in-between. Our production crew is well equipped to produce professional content for your business. CALL 0717433410 WIZZOH CLASSIC EMPIRE FOR: *MUSIC VIDEO *EVENTS COVERAGE *DOCUMENTARIES *MOVIES *COMMERCIAL VIDEO *ADVERTS *MUSIC MA...

KUTANA NA ACTRESS MASHUHURI CARO KUTOKA MALINDI.

Image
Caro ni actress sifika m mjini malindi na pwani kwa jumla. Mwanadada huyu hutumia kipaji chake kujimudu na uigazi ndio humpa mkaye wake wa kila siku. Caro ameigiza kwenye filamu kama vile Uzito Wa hisia,The meeting na nyingine nyingi.

MUIGIZAJI MAARUFU WA PWANI Juma Shibe AMTEMBELEA MAMAKE MAREHEMU STEVEN KANUMBA.

Image
Mwaka uliopita tulipata nafasi ya kuona na na muigizaji Juma Shibe ana kwa ana. Hapo basi mwandishi wetu hakulaza damu bali alimuhoji maswala kadha wa kadha na Shibe alifunguka kuwa, ndoto yake moja ni kumtembelea mzaziwe muigizaji marehemu Steven Kanumba wa Bongo. Shibe anayejulikana kwa jina lingine MJ alisifika kwa kipindi cha kusisimua Sumu kilichokuwa K24 TV. Jamaa huyu alizuru nchi jirani ya Tanzania akiwa pamoja na meneja wake Khalfan Julo.Wawili hao kando na kumtembelea mzaziwe Kanumba,walikua na mikutano na waigizaji tofauti wa Bongo na twashuku kumewekwa mikakati MJ kuingia kwenye ulingo wa movie za Bongo. Usikae mbali, Pwani Usanii tutakujuza yatakayojiri.

USHAIRI JASIRI: KUTANA NA GWIJI WA MASHAIRI MAMBOLEO.

Image
Mamboleo ni Swahili poet ama mshairi anayetumia lugha ya kiswahili.  Mshairi Mamboleo anafanya sanaa yake hapa nchini Kenya na amekuwa akifanya kazi na Mrisho Mpoto wa Bongo. Jamaa huyu kwa sasa ameachilia kazi mpya kwa jina Kumekucha .  Hii ni project ya kuhamasisha jamii kutokana na ubaya wa ukeketaji (Anti-Fgm). Kazi hii yake mpya inaelimisha sana jamii hasa wanafunzi na pia media. Ni njia mojawapo ya vile sanaa hutumika kufunza jamii za Kiafrika. Ni project amefanya na shirika la The guardian kutoka Uingereza. Unaweza kuitazama Video Yenyewe hapa ===> https://www.youtube.com/watch?v=rGcCm0lh6wU&feature=youtu.be  

KHALFAN JULO MENEJA WA MJ ASEMA MENGI YANAPASWA KUFANYWA KWA BURUDANI LA PWANI.

Image
Baada ya ushindi wa Juma Shibe almaarufu MJ, meneja wake Khalfan Julo amepasua mbarika kuhusiana na tasnia ya burudani la pwani. Khalfan,ambaye vilevile ni muigizaji mkali na assistant director wa Coast Films alidokeza haya huku akimtayarisha Mj kwa ziara ya kuzuru Tanzania. Julo alidokeza kuwa pwani ina vipaji vingi na wakati umefika vipaji viweze kupepea. "Sio uimbaji au uigizaji,pwani imejaa vipaji tele na viongozi wa serikali wanapaswa kutilia mkazo kwenye ukuzaji talanta. Hii itasaidia sana vijana kujiajiri na kupigana na madawa ya kulevya."Alisema Julo.

NOMINATION GALA YA PWANI CELEBRITY AWARDS NI JUMAMOSI HII.

Image
 NI WAKATI WA KUTUZA WANAOFANYA VIZURI.....HIVI WEWE ULINOMINATE MSHIKA DAU YUPI WA SANAA??

TAZAMA JINSI MASTAR WA BONGO WALIVYONG'ARA KWENYE REDCARPET YA KMTA 2015 (PICHA)

Image
Curtsey of Bongo5

KIPINDI CHA ALMASI K24 CHAKARIBIA MWISHO.

Image
Twashuku tamati imefikia kwa kipindi cha kusisimua ALMASI kinachotia fora kwenye televisheni zetu kila siku.Kipindi hiki kilichojaa talanta za waigizaji wa pwani kimepewa sifa za ndovu kumla mwanawe ila kilicho na mwanzo bila shaka hakina budi kufikia mwisho.Hivi ndivyo alivyonakili MJ muiizaji machachari wa kipindi hicho................"Mr Mj aka Baba Chocha aka Mambo madogo.Jana ndio ilikuwa siku ya mwisho ya kushoot Almasi.Kumekuwana pandashuka za hapa na pale ila nimejitahidi kuwaridhisha mafans wangu kwa kufunga kazi ipaswavyo.Respect to Ashiner picture, Almasi artist,crew na mafans wangu wote ni kwa support yao ndio imenifikisha hapa nimefika.God bless you all....Nionyeshe upendo kwa kutoa hisia zako kuhusu Mj.

THE LOST RING- MOVIE

Manufaa yameenza kujitokeza jijini Malindi City,Yaani Jiji lenye mvuto wakivyake,Jiji la Utalii na Bango.Wana MARIMBA wameachilia filamu yao mpya hivi leo iliyokua ikingojewa na wengi kwa hamu na ghamu,filamu hii inafahamika kama THE LOST RING. Filamu hii imebobea mastar na gwiji wengi kama vile, Jituzee wa GBT,Marvelous, Mbuyu wa TABAKA, PrincessR, Ali Gereza na wengine wengi.shukrani Malindi Superstars.

Kutana na Faith, Actress mkali kutoka KABAKA FILMSWORKS

Image
Faith ni mwanadada aliyehusika katika filamu inayoandaliwa mjini Malindi City na kampuni la KABAKA FILMWORKS.FIlamu yenyewe inafahamika kama THE LOST RING iliyosheheni mastar wanguvu kama Jitu zee wa GBT,Mbuyu wa TABAKA,Marvelous,Princess R,Faith na wengineo wengi.THE LOST RING coming soon. Courtesy of Malindi Superstars

QUEEN EVE APATA DEAL NA PWANI TV

Image
Event organiser na mfanyibiashara kutoka humu pwani Eve Queen amepata deal ya kuleta kipindi kwenye Pwani T.V. Kulingana na mawasiliano yetu naye hapo awali, Eve alitueleza kuwa kipindi chenyewe kinachoitwa The Dhowbiz, kitakuwa kikipeperushwa hewani wakati wowote kutoka sasa. Baadaye, aliupdate kwenye mitandao ya kijamii. Kwa wote walio niombea dua njema Mungu amejibu na kunitendea tena, leo nimetia saini kwa kipindi changu The Showbiz kua hewani katika Pwani Tv, nawapenda sana sana

KOLOA||

Image
The curse of the moon ama ukipenda The blessing of the moon ilo directiwa na Gift payne,sasa ipo madukani.Ni filamu yakusisimua na mvuto wakipekee.Pata nakala yako ujione nini Maana ya KOLOA. Courtesy of Malindi Superstars