DOGODOGO REMIX YA LYPSO IMEWASILI. DOWNLOAD HAPA.


Baada ya mashabiki kungoja kwa hamu na ghamu wimbo huu, Dogodogo remix ya Lypso akiwashirikisha Chikuzee, Harsh b, Dogo Richie, Shamaniz, Majid, Comedian Churchill na rapper Juliani wa Nairobi imekamilika na mafans wanaweza pata utamu wa kuiskiza papa hapa. 
Download hapa.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA