FIDELAIZ RAIS MPYA WA RIDDIMS NA DANCEHALL PWANI


RE-UNION ENTERTAINMENT KAMPUNI ILIYOKITA MIZIZI YAKE KWA MUZIKI WA DANCEHALL/RAGGA/REGGEA/RIDDIM IMEKUJA TENA KUWALETEA KIPAJI KIPYA. 
BAADA YA KUWALETEA WASANII WAKALI WA DANCEHALL KAMA QRITICAL NA SINGA BABZ, REUNION ENTERTAINMENT IMEWAKARIBISHIA # FIDELAIZ. MSANII FIDELAIZ NI SHUPAVU NA ANA MILIKI MTINDO WA DANCEHALL KIUKWELI. TULIPOWAHOJI KUHUSU KIPAJI CHA FIDELAIZ,RE-UNION ENTERTAINMENT HAWAKUSITA KUTUELEZA BAYANA KUWA FIDELAIZ ANAYO TALANTA KALI YA MUZIKI NA WAPO TAYARI KUIKUZA HADI KILELENI.KWA SASA FIDELAIZ YUPO KATIKA RIDDIM MPYA KWA JINA 'BLUEMOON'.VILEVILE FIDELAIZ ALIKUWA MIONGONI WA WASANII WALIOKUWA NDANI YA 'SHESHE RIDDIM' ILIYOANDALIWA NA KELELE RECORDS ,WIMBO WAKE WAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA YOUTUBE.BILA KUSAHAU WASANII WALIOKUWA RE-UNION ENTERTAINMENT SINGA BABZ NA QRITICAL WASHAWAHI TUZWA KAMA WASANII BORA WA RAGGA/REGGEA KWA COAST MUSIC AWARDZ.TUNAYO IMANI KUWA FIDELAIZ YUPO TAYARI KUTETEMESHA NYANJA ZA AFRIKA MASHARIKI KWA MTINDO WA DANCEHALL

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA