GOSPEL SHOW EXTRAVAGANZA
MOG
JUKWAA MOJA NA BIBLELIZERS,THE MUNGAZ NA GOSPEL SPREADERZ.
Tarehe 20th jumapili ACK Guest house barabara ya Shelly Beach kutakuwa na show moja ya kukata na shoka pale wasanii wa kutoka Nairobi MOG waliovuma kwa vibao 'let him go' 'zingzing' na nyinginezo watakapo panda jukwa moja na Biblelizers,Gospel spreaders na The Mungaz. Kiingilio shilingi 100ksh advance tickets na 150ksh kwa gate. Usikose!!

Comments
Post a Comment