SAHAU BAIKOKO NA VIDEO ZA SNURA....HII HAPA ITAKUPAGAWISHA!!!!
SAHAU BAIKOKO NA VIDEO ZA SNURA....HII HAPA ITAKUPAGAWISHA!!!!
Kuyeyusha viuno na misakato ya tumbo na makalio ndio mvuto wa video nyingi za muziki w kileo wa Zanzibari na visiwa vya pwani mwa Afrika Mashariki.
Video ya "karibu Mombasani" ya wasanii Benso, Kigoto na Miss Gee Gee imeamua kuvuka mipaka yake na kuachia zaidi ya mitindo ya baikoko na kusakata viuno chini kwa chini na kuvipelekwa sako kwa bako ?
Sababu kuu ni gani?
Labda muelekezi wa video hii ambaye ni Peterz hakutaka kuwacha nje kipengele chochote kile cha tamaduni za upwani....tazama picha hapa
Comments
Post a Comment