MAHABA YANOGA KWA EVE WA NZUMARI
Eve Adhiambo ama ukipenda NZUMARI AWARDS C.E.O hapo jana kupitia ukurasa wake wa Facebook alitupia picha akiwa analiwa jate na jamaa wake mpya ambaye jina tumelieka kwenye mabano chungulia picha hio kwa makini ujue ni nani......
Na hivi ndio alisema kupitia Facebook “Kwa mahaba unayo nipa nimenogewa…hakuna yule ashawai nionyesha mapenzi kama huyu mume wangu, amenigusa mahali sijawai kugswa, nampenda sana…haya wambea, wanablog na wenye uwivu habari ndo hio…..mimi na yeye milele, huyu ndo my baiby, my man, my hubby.”-courtesy of THE GREAT MULLEY-
Comments
Post a Comment