PICHA ZA RAY-C ZATOKEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII AKIWA DRUG ADDICT
Mwanadada kutoa Tanzania Ray C, Ametoa picha zake wakati alipokuwa anatumia mihadharati, picha ambazo zimezua hisia kali katika mitandao ya Jamii. Ray C ambaye alichukuliwa na Rais wa TZ Jakaya Kikwete na kupelekwa kwenye rehab kwa sasa yuko katika hali nzuri ya afya na ameanza kazi zake za mziki huku single yake ikitarajiwa kutokea hivi karibuni.
Comments
Post a Comment