PRODUZA BAINDO & PRODUZA SULENAX WAIMBA NYIMBO JINA # WASIA


Itashangaza wengi kwa maproduza gwiji wawili kuja pamoja kushirikiana kufanya kazi ya muziki hasa ya kuimba ilhali wengi wamewazoea kwa upande wa kuandaa beat na kuandaa muziki. 
Raundi hii produza wa Bigfoot production Baindo na produza wa Liwazo recordz Sulenax wamekuja pamoja kutoa wimbo 'wasia' unaowapa advice wasanii wa pwani. 
Katika wimbo huu,Baindo ameimba chorus huku sulenax akiwa kwenye verse akisaidiana na Baindo. Tulipowasilianana Baindo alikuwa na haya ya kunena "......imefikiapahali wasanii hawaaminiki tena wamekuwa wasaliti malumbano kila kukicha. Je wasanii wa pwani twasomeka vipi nje ya hii kanda ya pwani.? Sanaa ya pwani imekuwa kwa asilimia kubwa ila tunataka kuididimiza kwa asilimia kubwa zaidi hali hii ndio imenigusa mtima wangu kwa uchungu sana, je twaelekea wapi? 
Tegeeni kibao baada ya juma moja.....

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA