Nyota Ndogo amjibu Colonel Mustapha na kumuita "shoga"
Kama ulidhani vita vya maneno kati ya msanii Mustapha na Nyota Ndogo vimefika kikomo basi umegonga nje.
Mustapha amejitokeza na kusema hadharani kuwa kilichomfanya Nyota Ndogo awe na kinyongo na kuanza kuingilia mambo yake binafsi ni kuwa Nyota Ndogo zamani alikuwa akimtaka Mustapha kimapenzi na Mustapha akamkataa. Kulingana na jarida la Spice Nyota alikuwa na haya ya kusema.
“Nimekua kimya toka mustafa alivyo omba msamaha. kwanini?kwakuwa shida yangu ilikua aombe msamaha story kwisha. lakini chakushangaza ni kuona huyu babu bado anatafuta mengine. eti hataki kuvunja ndoa ya mtu? Mwambie avunje tuone kama wacha kuvunjika, kama tu itabambuka.
Pia anasema kuwa kuna kitu na taka kwake. jamani mbona anajivuta vuta hivi kama shoga? ni aseme anachofikiria nataka kwake. sijakataa watu wameniita nyanya. sasa wamwambie babu yao awache maneno.maneno tulimaliza tu alipoomba msamaha. Mimi nimekuwa kimya, na yeye anatafta story kutoka kwangu.”
Nyota Ndogo |
Mustapha akiwa na Huddah Monroe |

Comments
Post a Comment