MCHEZO WA KIBE WA TOTTI
Baada ya kukumbwa na scandal
ndogondogo za uongo ukweli produza wa Kay-G records amezuka tena. Totti
ambaye mara ya mwisho tulipomsikia ni kwa wimbo wake wa mwaka jana
HAWAKUFAI aliomshirikisha Renny Blazer uliofanya vizuri sana amejitosa
uwanjani na kuachia wimbo mpya kwa jina MCHEZO WA KIBE.
Wimbo huo unaoleta maudhui ya maisha ya kawaida ya mwanadamu, mahaba na kulaghaina tayari upo hewani.
Wimbo huo unaoleta maudhui ya maisha ya kawaida ya mwanadamu, mahaba na kulaghaina tayari upo hewani.
Comments
Post a Comment