DOGO RICHY KUFANYA COLLABO NA WYRE
Baada ya kufanya muziki mzuri kwa muda mrefu na vilevile kushirikishwa kwenye collabo kali ya DOGODOGO REMIX, Msanii Dogo Richy aliyetamba na vibao kama:-naona raha, sina raha, wanionea na nyinginezo inakisiwa kuwa yupo matayarishoni ya kutoa collabo kubwa na msanii wa dancehall Wyre. Richie Ri hivi majuzi alikuwa Nairobi na alipata nafasi kuperform ndani ya club Tribeka na wasanii kama Bahati na Ay.
Comments
Post a Comment