Exclusive news!! MSANII WA PWANI KUCOLLABO KONSHENS NA WYRE
Baada ya Konshens kudunda hapa Nchini kwa show moja bab kubwa, Sponsors wake wamempangia collabo kali sana itakayowashirikisha Wyre na msanii mmoja kutoka pwani ya Kenya amabye amekuwa akifanya vizuri nchini Kenya na Africa Mashariki kwa ujumla.
Japokuwa haijabainika wazi ni msanii yupi atakayepata nafasi hio ya kufanya kazi na wasanii hawa wa kimataifa, fununu zajiri ya kwamba tayari mipango imeshang'oa nanga.
Ngoma yenyewe itafanyiwa studio za SubKonsus Music.
Comments
Post a Comment