Jokka Zunda The producer to watch out for
Jokka Zunda ni producer ambaye anafanya vizuri katika maeneo ya pwani.
Producer Jokka anatokea maeneo yakwa ndomo mjini Malindi city,pia vilevile ametengeneza filamu kwa jina mzunguko ambayo atailanchi hivi karibuni...Tegea uhondo...Terra Byte Rec ndio mpango mzima.
Comments
Post a Comment