WANAWAKE HUVUA SURUA** APANDAPO JUKWAANI!!!!!


WANAWAKE HUVUA SURUA** APANDAPO JUKWAANI!!!!! 


Baada ya tetesi za msanii Skymer kuvuma mitandaoni za yeye kuwafanya mashabiki wake wa kike kuvua nguo zao za ndani, wanahabari wetu shupavu waliamua kuchimba zaidi tetesi hizi Na walibaini mambo mengi. 


Skymer anayevuma kwa sasa kwa kibao chake Pyscho alitueleza kuwa kamwe huwa hawaambii mashabiki wake wa kike kufanya jambo Hilo bali ni vile anavyowapagawisha kwa miondoko yake mikali mikali. 

Skymer au ukipenda Dancehall Senator huwa mwingi wa uchangamfu Na anadhihirisha kuwa yeye ndiye champion wa jukwaa kwenye muziki wa dancehall. Icheki video yake ya Pyscho hapa - - - - - - - - >>>



Psycho #Falling in love Skymer (Dancehall Senator…: http://youtu.be/TfpIERsLflE

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA