MSANII WA PWANI APIGA COLLABO KALI NA MSANII WA NEW YORK USA.
Msanii Mtu Saba ameamua kupiga hatua kali kimuziki, hii ni kupitia kazi mpya aliyoifanya akimshirikisha msanii wa Amerika kwa jina Carmen Lookshire.
Nyimbo hiyo kwa jina "Don't Tell Mommy Why?" alifanyiwa makamuzi ndani ya Bigfoot production chini Ya producer Baindo.
Tulipoongea Na Mtusaba alitueleza hivi
"It's a reggae love story .I'm in a record family, ONE TRyBe Co,with Artists in it from various parts of the world,Machakos Kyalo ,Mtu7saba,Brainy all from Kenya,Aaron mentors frm Massachusetts there's a female singer from Senegal,it's a big family..."
ICHEKI HAPA - - - - - - - >>
Mtu7saba & Carmen Lookshire- Don't Tell Mommy Why…: http://youtu.be/Kd_tDfHyukU
Comments
Post a Comment