SUSUMILA ANGEKUWA MANAMBA (MAKANGA) WA DOCKS - - CHIKUZEE AANZA UCHOKOZI
Msanii Chikuzee amefunguka kupitia redio Maisha pale alipohojiwa Na Mtangazaji Clemmo.
Chikuzee anayevuma kwa wimbo wake mpya KICHUNGU alipasua mbarika pale Mtangazaji Clemmo alipomuuliza swali la kizushi "Unadhani Susumila angelikua akifanya kazi gani kama asingekua mwanamuziki?"
Chikuzee alijibu kuwa Susumila angelikua manamba wa Nissan za Docks.
Vilevile Chikuzee aliongeza kuwa kwa sasa anatafuta Meneja atakaye kuwa akimsimamia kimuziki.
ya leo kali kweli msiki una machanga,,,,,,,
ReplyDelete