TUTACHEZA MUZIKI WA BONGO..... RAPPER WA MOMBASA AAMBIWA WAZI!!!
Rapper maarufu wa Pwani alipewa Lake Na kuambiwa kufunga bakuli Na kukaa kimya pale alipoabiri gari la abiria Na kusikia ngoma Yake yacheza.
Rapper huyo almaarufu Ohmz Law Montana aliyeabiri Nissan moja sifika alikuwa wa furaha pale tu alipopanda gari hiyo Na kusikia muziki wake ukipigwa. Punde si punde Furaha ilikatizwa pale dereva wa gari Hilo kugeuza muziki Na kupeleka mbele ukipenda forward kwa wimbo wa Rayvanny Zezeta. Lililobakia ni mfokaji huyo ambaye vilevile ni mshairi mkali kukimbilia mitandaoni kutoa kilio chake.....
Comments
Post a Comment