ONE ON ONE NA MADINI CLASSIC:VITU VITANO USIVYOVIJUA KUHUSU!!!!


Leo tunawaletea msanii Madini Classic aliyejulikana kitambo kama Philowize Madini. 
Maneno haya bila kuongeza lolote yametoka kwa Madini Classic moja kwa moja..... 


VITU VITANO WATU HAWAJUI KUKUHUSU..... TUELEZE

1.A lot of people think am not Akenyan I am aKenyan Born and raised in Nyanza. 

2.People think 'Kwetu' cover is the song that paved my music ways while Uzuri Wako ndio wimbo uloinspire boss wangu anayenisimamia kwa saizi na ikamfanya kazi zangu zaidi. 

3.Nimewahi Kutongoza Mwanamke mmoja tu in my life japo nimedate wanawake wengine pia lakini kwa Kutongoza nimewahi tongoza mmoja tu tangia kuzaliwa kwangu. 

4.I strictly listen to East African music though I love international rappers but I don't listen to them as much as I listen to East African Music. 

5.Sijawahi kuogopa wasafi kuiona kama kitu kubwa Sana'a hua naichukulia kikawaida yani kama wanamuziki wengine wanaofanya poa. 

TAZAMA VIDEO YAKE HAPA---BONYEZA
https://youtu.be/1uF0zrPazGo

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA