'NIPE NIPAGAWE' RINGA TALEMO AELEZEA TETESI ZINAZOKUMBA WIMBO WAKE!!!!


Baada ya kutoa wimbo wake kwa jina NIPE NIPAGAWE, msanii anayetokea Pwani ya kusini Ringa Talemo amejitokeza bayana kuutetea wimbo huo.Hii ni inatokea pale mshika dau flani wa hapa Pwani kuuponda Na kusema kuwa hauna Maadili yoyote Na umekosa nidhamu kijamii.

"Wimbo wangu mimi ni mzuri Na ilinichukua Muda kabla ya kuukamilisha. Maudhui yanayojitokeza kwenye wimbo huu ni dhulma za kimapenzi kati ya wapenzi wawili au wenye ndoa. " Alieleza Talemo.
Msanii huyu aliye Na kipaji sufufu vilevile alitutobolea kuwa kwa sasa yupo katika pilkapilka zake Za kuandaa video ya wimbo wake. Pata kuusikiza hapa wimbo huo, NIPE NIPAGAWE - - - - - - - - - - - - >>>>>

http://mdundo.com/a/14363

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA