MANENO HAYA SIO SAWA.... MSANII AHIMIZA!!!!
Sijui ni tetesi au tu maoni ya msanii huyu, Beka the Boy ambaye kwa sasa ndiye anayepeperusha bendera ya Pwani Juu zaidi.
Saa zingine hali huwa sio hali kwenye uhusiano Na hapa Beka amejaribu kupitisha ujumbe wa Moyo wake. Swali ni je, msanii huyu yupo katika matatizo ya mahaba? Je Beka the Boy katemwa.
Pata kujua ukweli wote kwa kuyatazama maneno aliyoyatoa kwenye nyimbo yake.
Video hii hapa, tafakari...... BONYEZA LINK
- - - - - - - - - >>
https://youtu.be/slthFeHIzn0
Comments
Post a Comment