RAPPER RAPKEED AVUNJA UKIMYA.
Rapper anayetokea kusini mwa Pwani, Diani, amevunja ukimya wa muda mrefu sana. Hii ni baada ya yeye kuandika Na kudokeza kuwa anawachia wimbo mpya.
Msanii huyu aliyesikika kwa Mara ya kwanza kwa kibao chake 'dear mama' alitoa mfululizo wa nyimbo kadhaa ndani ya studio za Bigfoot music Na kukaa kimya zaidi ya Mwaka mmoja.
Rapkeed kupitia Facebook alidokeza kuwa yupo na ujio mpya kwa jina SLOW DOWN uliofanyiwa makamuzi na produza Baindo.
Tusubiri tuone mapya haya ya Rapkeed.
Comments
Post a Comment