VIDEO YAKE YA PILI NA IMETETEMESHA VILIVYO!!!!!!
Alipodondosha video yake ya kwanza alikua ni kana kwamba anajitambulisha, Niko Low.
Beka Boy hakutaka kubaki pale pale, msanii huyu alijizatiti Na kufanya wimbo wa pili kwa jina Siri ya Moyo Na video yake pia.
Video hiyo iliandaliwa Na Marvin Brudaz wa Undepicted Films. Ama kweli, Double B alivuka mipaka kwa urembo wa video yake na kuzoa views zaidi ya elfu kumi Na moja kwenye mtandao wa YouTube.
Kama labda hujawahi itazama, wakati ni sasa. Cheki maneno hapa - - - - - - - >>>
SIRI YA MOYO - BEKA the BOY ft KIWANJA (Official …: http://youtu.be/26MjgL0OgSU
Comments
Post a Comment