AKOTHEE MTETEZI WA HAKI ZA KINA MAMA WALIOACHWA: VIDEO MPYA baby daddy



Kwa jina anajulikana kama Akothee ukipenda waweza muita Madam Boss. Mwanadada huyu anayevuma kila mahali kwa ukwasi wake na muziki wake wa hali ya Juu ameamua kutoangalia nyuma.
Akothee, ameachia video inayoangazia mateso apitiayo mama anapowachwa Na mume.


Huku visa vya dhuluma za wanawake zikizidi kwenye jamii, Akothee ameamua kuwa kielelezo Na mtetezi wa wanawake kwa kueleza mateso, utengano Na chuki anazolimbilikiziwa mzazi wa kike.
Video yenyewe imefanywa Na Hamza Omar wa One Montage films.
Itazame hapa - - - - >

https://youtu.be/NVRTNO8TPsA

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA