MSANII WA PWANI AVUNJA MINYORORO YA SHETANI!!!! FAHAMU YOTE HAPA!!!
Elly Thomas ni msanii anayetokea Pwani Na Mara nyingi hufanyia kazi zake jijini Nairobi.
Msanii huyu aliyezivaa njuga za muziki wa injili Na kuamua kusambaza neno la Mungu alitamba sana kwa kibao Chake 'Coco Bata' kilichompa umaarufu Na kufungua milango yake kwenye ulimwengu wa Sanaa.
Hivi sasa, Elly amerudi kwa video yake mpya kwa jina minyororo.
Kwenye wimbo huu, msanii huyu anaeleza bayana jinsi Mungu alivyomuokoa kwa kuivunja minyororo ya ibilisi shetani.
Tazama video hapa upate ushuhuda kamili
- - - - - - - - - - - - - - >>>>>>
https://youtu.be/rxjrL4MSlTE
Comments
Post a Comment