MSANII?????? HIVI BEKA THE BOY ANAMCHIMBA NANI KWENYE WIMBO HUU????
MSANII?????? HIVI BEKA THE BOY ANAMCHIMBA NANI KWENYE WIMBO HUU????
Guu mosi guu pili ndivyo walivyonena wahenga, na hapa guu hili lazidi tembea kilomita nyingi hatua baada ya nyingine.
Misemo kando, baada ya msanii kutoka chocolate city Malindi kuachia vibao motomoto kama Niko low, Siri ya Moyo (akimshirikisha Kiwanja) Na Maneno. Beka amerudi tena Na raundi hii amekuja kwa vijembe. Vijembe???? Jiulize tena, Beka ametayarishiwa kibao Na produza Ammz kinachoenda kwa jina Msanii.
Swali ni je wimbo huu wamchimba nani?
Je Beka katoa malalamishi yake ya changamoto za muziki?
Au je msanii huyu amemdiss msanii fulani?
Majibu utayapata dakika yoyote wimbo ukitoka......
Usikae mbali
Comments
Post a Comment