SULTAN WA PWANI AACHIA VIDEO MPYA!!!! HII HAPA BILA SHAKA USIPIME AISEEE
Ama kweli jina linamfaa vyema, Sultan wa Pwani. Msanii huyu baada ya kudondosha video yake inayopeta sana ameongeza msumari Moto kwenye kidonda.
Sultan wa Pwani chini Ya produza Morbiz almaarufu Sherrif ameunda audio moja safi sana Na kuisindikiza Na video inayofaa.
Johnson Kyalo wa TopNotch Films amesafisha camera zake Na kucheza nazo vyema.
Tusitumie mate ilhali wino upo, tazama video ya USIPIME kutoka kwa Sultan wa Pwani hapa - - - - - - - - - - >>>
https://youtu.be/2w-wgDIT53k
Comments
Post a Comment