MIMI SI PETER MSECHU WALA SIHUSIANI NAYE.MSANII WA TAVETA AONGEA.
MIMI SI PETER MSECHU WALA SIHUSIANI NAYE.MSANII WA TAVETA AONGEA.
Msanii anayeibukia kwa kasi sana, Nashipai ameamua kuongea kuhusiana na swala lake la kuitwa Peter Msechu.
Nashipai, anayetokea Taita Taveta aliyaongea haya baada ya video yake ANGEJUA aliyomshirikisha msanii wa Bongo linex kutoka.
"Watu wengi wanasema video ile ni ya Msechu na Linex ndiye aliyepiga kolabo Na Msechu ilhali ni mimi. Kweli twafanana kimpango ila sihusiani naye wala ile nyimbo sio yake. Nyimbo ni yangu nimemshirikisha Linex. "Alitueleza kupitia njia ya Simu.
Tazama hapa video yenyewe iliyoandaliwa Na X Benjoes.......
https://youtu.be/yO6GAjwdqLc
Comments
Post a Comment