HIPHOP TWAPAMBANA NAYO VIVYO HIVYO NA TUNATOBOA- RAPPER CHIDO D KINGA AFUNGUKA.


HIPHOP TWAPAMBANA NAYO VIVYO HIVYO NA TUNATOBOA- RAPPER CHIDO D KINGA AFUNGUKA.

Rapper anayetokea Kilifi Chibo D Kinga amefunguka na kutoa hoja zake kuhusiana na muziki wa hiphop Pwani.
Msanii huyo alitetea sana muziki wa hiphop Pwani Na kusema kwa kasumba za kuwa hiphop hailipi zilipitwa Na wakati.
Chibo,  aliongeza kuwa kila aina ya muziki kwenye karne hii ya Leo unalipa. Baada ya kumhoji zaidi jinsi au mbinu gani msanii hasa wa hapa Pwani anajilisha kupitia hiphop, majibu yake yalikua haya.

"Msanii wa hiphop haifai ategemee radio na shows pekeake bali vpo vitu vingi yuaeza fanya na akajipatia pesa zake. "
Vitu hivi vikiwa kama shows za kuhamasisha jamii kwenye shule, vyuo vikuu Na vya ufundi. Chibo-D Kinga alimalizia Na, hiphop sio ya kustarehe bali kufungua akili.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA