PRODUZA GOGOLOW ARUDI KIMUZIKI BAADA YA KUPOTEA KWA UTEJA
SIMULIZI ZAKE PRODUCER GOGOLOW..........
"Mwaka wa 2013 nilikuwa drug dealer nikiwa Rage records by 2014 nikaanza kutumia madawa while selling them.Kwa kweli biashara ikaja kubuma,nikaendelea kwenda mbio kwa ajili ya kupona kwangu sasa while I was having a family depending on me.
Mwaka 2015 mwezi wa May nikaenda rehab kampuni moja inaitwa reachout rehabilitation centre kwa 4 months then baaa ya kutoka nikakaa kiasi then nikarelapse tena mpaka this year.Kwa kweli ilinirudisha nyuma kimziki,ila sijakata tamaa nimerudi tena ndani ya Malindi nafanya mambo kama kawa.Baada ya kufungwa jela kwa mwaka mmoja but bahati nzuri nikaachiliwa by power of mercy yaani msamaha wa Rais.Ujumbe wangu kwa ndugu ni waquit drugs waenjoy their lives with their families."

Comments
Post a Comment