KARIBU MOMBASANI YAPATA UPENYO KILA SEHEMU!!!
Vichwa vitatu vilikuja pamoja na kubadili mawazo na kilichofuata ni wimbo mwafaka kabisa KARIBU MOMBASANI.
Benso,Gee Gee na Kigoto chini ya label ya BCMG waliachia kibao hiki juma lililopita na tayari imekuwa gumzo mjini.
Nyimbo hii imechaguliwa na wizara ya vijana ya kaunti ya Mombsa ili kuvutia na kuipa Mombasa sifa kabambe.
Chapa flani iliyo na lebo ya KARIBU MOMBASANI inazungushwa kila sehemu mashuhuri na kupigwa picha zinazotembea mitandaoni.
Pata kusikia wimbo wenyewe hapa
https://youtu.be/wILSIKuLxQQ
Comments
Post a Comment