KASSAMONEY AONGEZA UBISHI KWENYE KIBAO CHAKE KIPYA "SHUT UP!"



Rapper Kassamoney anayejulikana kuwa mkosoaji wa sanaa sio ya pwani pekee bali Kenya nzima aliachia kibao kipya siku chache zilopita.


Kassamoney,ambaye ni kiongozi wa kikosi cha Coastside Militia ameachia wimbo huu uliotayarishwa na O-ZONE KREATIONS chini ya producer Teknixx na kiupande wetu rapper huyu amejaribu kuwasuta watu flani kwenye industry. Pata nafasi ya kuusikiliza hapa->>>
https://youtu.be/ZPGjTPzWK4Y

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA