Baada ya kuachilia too Much, rapper kutoka bongo Darassa ameingia studio mara ya pili na Ben Pol na kuachilia ngoma kwa jina Muziki. Kazi iliyofanywa na ma producer watatu tajika kutoka TZ, Mr. Vs, Abbah and Mr T Touch. Video yenyewe ilitayarishwa na Hanscana.
Icheki hapa
Icheki hapa
Comments
Post a Comment