TAMASHA BAADA YA TAMASHA SKYMER APIGA MUHURI MUZIKI WA DANCEHALL.
Msanii Skymer aliyekulia kimuziki papa hapa pwani anajizatiti na kujituma kwa hali na mali ili muziki wake uweze kupepea Afrika Mashariki.Skymer aliyesajiliwa na JUBILL EMPIRE chini ya mbawa zake meneja Edga Asila aka Edi atakuwa na show kadhawa kadha zikifuatana na tayari kikosi cha Jubill Empire kishateyateka mawimbi ya himaya ya Nakuru na Rift Valley kwa jumla.
Tukiwasiliana na Skymer,alikua na haya yakunena, "I will be launching my video "take it down" tomorrow at club Sting with the mseto East Africa crew and on Friday I will be performing along side my label mate Juss music at Club rendezvous Sobea."
Vilevile Skymer alitudokea kuwa yeye ni mmoja ya wasanii wanaotumbuiza kwenye tamasha la "The Safi tour".
Pata kuitazama video yake TAKE IT SLOW hapa
https://youtu.be/SQmfZ-3_ZCQ
Comments
Post a Comment