STUDIO ZA ISLANDLOVE RECORDS KUMSAJILI DULLY MELODY??


STUDIO ZA ISLANDLOVE RECORDS KUMSAJILI DULLY MELODY??

Msanii Dully Melody aliyetamba kwa vibao kama Hongera,Source na Yagayaga yaonekana kawapendeza wengi na kuwavutia mameneja wengi mno.
Baada ya kupiga show Lamu akiwa pamoja na Chikuzee,meneja wa ISLANDLOVE records ambayo ni studio kali zaidi Lamu alifurahishwa sana na kazi za msanii huyu na akampa fursa ya kuwa msanii wa studio yake.

Hivi majuzi studio hii imepata ufanisi mkubwa na wasanii wake kupata mpenyo kwenye ulingo wa sanaa ya pwani.
Wasanii waliosajiliwa kwenye studio hiyo ni Produza msanii Doni na mwenziwe Man Azzer na tayari washatoa vibao motomoto na video ya kukata na shoka.
Tulipowasilian na Dully Melody alisema kuwa jambo hili bado lipo "pending" na kuna mambo mengi ya kufikiria na kuongea kabla mkataba wowote.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA