MSANII WA INJILI AELEZA KUHUSU SHIDA ALIZOPITIA NDIPOSA KUTOA WIMBO MTETEZI.


MSANII WA INJILI AELEZA KUHUSU SHIDA ALIZOPITIA NDIPOSA KUTOA WIMBO MTETEZI.

Mula Sanz ni msanii anayefanya muziki wa injili na ameamua kivyovyote vile lazima aeneze neno la Mungu kupitia kipaji chake.
Wimbo 'mtetezi' ndio unaopiga muhuri album yake ndogo ya nyimbo tano.
Albamu hii ambayo ni yake ya kwanza inaitwa YULEYULE na Mula Sanz ameirekodi kwa studio yake mwenyewe.
Msanii huyu alitueleza kuhusiana na wimbo wake mtetezi na alikuwa na haya ya kunena.....


"Mtetezi is a gospel song describing how jesus is faithful to us.We always pass through difficult situations na binadamu wanaweza kututema msimu wa shida.Unaweza tafuta msaada kwa watu ila wote wanaweza kukutema.Only God helps us in times of need.Mtetezi is an inspirational song to all who believe in God."
Vilevile msanii huyu atawachia wimbo wake wa mwisho kwenye albumu hiyo mwezi ujao.


http://mdundo.com/a/27490

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA