VIDEO YA NYIMBO YETU 'KAA RADA' TUTAIFANYA NCHINI IRELAND-JEY KITOLE AFUNGUKA.



Mwanasarakasi ambaye Vilevile ni msanii aliyekita mizizi kwa miondoko ya ufokaji na hiphop,Jey Kitole amefunguka na kumwaga mtama kwenye kuku wengi.
Msanii huyu alishirikiana na wasanii wenza wa hiphop na kuachia dongo kali kwa jina KAA RADA. Wimbo huu,kama alivyotueleza Jey Kitole utakuwa mmoja wa kipekee kwani video yake itaandaliwa jijini Dublin nchini Ireland.

"Tutatumia pesa za kisawasawa kuandaa video hii na bila shaka itakuwa ya kimataifa." Jey alieleza.
Kando na kuandaa video hiyo,Jey yupo katika pilkapilka za kuachia rasmi wimbo wake UKINIPENDA aliomshirikisha Dazlah.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA