NEW VIDEO ALERT: NISEME NAWE - OTILE BROWN FT BARAKA THE PRINCE
Otile Brown amevuka border na ameachilia wimbo kwa jina Niseme Nawe aliomshirikisha msanii tajika kutoka TZ, Baraka The Prince. Wimbo wenyewe umetayarishwa na producer Teddy B huku Video yenyewe ikifanyiwa kazi na Dr Eddie.
Icheki hapa ===>>
Icheki hapa ===>>
Comments
Post a Comment