VURUMAI BAADA YA PROMOTER KUMENYA MKE WA MSANII.


VURUMAI BAADA YA PROMOTER KUMENYA MKE WA MSANII.

Ilikua mshike mshike katika club moja Ukunda,kusini mwa pwani pale ngumi zilipozuka kati ya Promoter mashuhuri na msanii.
Msanii huyo almaarufu REDFLEVA BOY wa kikosi cha WAZEE WA MBINDE KWA MIC alileta zogo alipomfumania mkewe akila uroda na promoter wake.

"Promoter wangu amenitendea kinyume na kumega tunda langu. Yaani yuanipa show mbili za harusini mfululizo kisha yeye mwenyewe haji. Wakati wote huo yupo maskani kwangu yuamega kumega,mkun** wake,pumbavu,Shog* yeye!" Alisema kwa ghadhabu.
REDFLEVA BOY alipewa siri hii na Majirani waliomshuku sana promoter kanjanja huyu anayependa vya bure.
Arubaini zake zilitimia pale,msanii alipokatiza show yake ya harusi na kurudi nyumbani kujionea. 'Starring' wetu wa nguvu alipandwa na hamaki alipomfunia 'in action' promoter akipepeta mkewe style ya kushangaza. Papo hapo promoter alipata kibano mithili ya mbwa kuingia msikitini.
Msanii huyu alimpiga ngumi nzito nzito huku majirani wakishangilia kwa sinema hii ya bure.
Ni hayo tu kwa sasa....tutawajuza zaidi pindi mwanahabari wetu mpekuzi atakapo wasiliana na promoter tajika.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA