Diamond Platnumz kuzindua marashi ya CHIBU
Mkali wa bongoflava Diamond Platnumz ameingia kwenye biashara ya vipodozi na kupitia Facebook yake, alionyesha sample ya kwanza ya CHIBU Perfume ambayo anatarajia kuzindua hivi usoni.
About to make another History @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve soon will be in your favorite store!
About to make another History @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve soon will be in your favorite store!
Comments
Post a Comment