DULA WETU AZITUPILIA MBALI TUZO ZA PWANI CELEBRITY AWARDS.


Msanii wa dancehall,Dula the African songbird amegadhabishwa sana na tuzo zinazoendelea za pwani celebrity awards.

LISTEN TO PWANI USANII ONLINE RADIO HERE>>>

https://www.spreaker.com/user/9366849/vichapo-motomoto_1

Dula aliyekuwa mstari wa mbele kujipigia debe kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo alikuwa Mwingi wa hasira na kushtumu jinsi upigaji kura unavyoeendeshwa.
Msanii huyu aliye na vibao kama singing the same songs,Babylon na huzuni alijitoa kwenye tuzo hizi zitakazofanyika Jumamosi hii katika mkahawa wa English Point Marina.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA