BAADA YA KIMYA KIREFU SHAMANIZ ARUDI TENA NA MPENZI WA KIZUNGU!
Mara ya mwisho kumsikia ni wakati wa nyimbo yake 'Romeo and Juliet'. Binti huyu,Shamaniz Ann mwenye sauti inayovutia ja ninga alipamba redio zetu kwa midundo motomoto.
Baada tu ya kukatisha mkataba wake na Produza Khalid wa A million records,msanii huyu alikimya kabisa. Si mitandaoni,redioni hata mitaani.
Baada ya kimya, Shamaniz amerudi kwa kishindo na amepachika picha ya 'mzungu wake' ambaye mwenyewe anadai kuwa si kibabu. (PWANI USANII ONLINE RADIO LISTEM HERE)
https://www.spreaker.com/user/9366849/vichapo-motomoto_1
Tazama screenshot ya alichonakili kwenye akaunti yake ya fesibuku.
Comments
Post a Comment