Jaystar msanii aliye chini ya management ya Vanilla fleva entertainment yaonekana kasepa na dancer mmoja wa Susumila.
Dancer huyu aliyekuwa sako kwa bako na msanii Susumila na alikua chini ya Wachawi International ameonekana kwenye show za Jaystar na hata kwenye video ya Jaystar mpya.

Comments
Post a Comment