HII MTAIWEZA? STYLE MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ, TAZAMA PICHA HAPA

Mkali wa Bongofleva Diamond Platnumz ni msanii ambaye kwa sasa anayesemekana kuwa na uwezo mkubwa kifedha na pia  kiumaaraufu kutoka Africa Mashariki. Licha ya kushikilia style yake ya kimziki, CEO huyo wa WCB pia amekuwa akitoa mitindo kadhaa ya fashion na kama kawaida, hajakosa wakumfuata, hasa hapa Pwani.
Baada ya kushinda tuzo 35 kwenye career yake ya kimziki, Diamond ametoka na style mpya. Je, atapata wa kunfuata?

Tazama picha hapa


PHOTOS (COURTESY)


Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA