JUMA SHIBE: SINA HAJA YA PWANI CELEBRITY AWARDS


Muigizaji mashuhuri aliyeshinda tuzo za pwani celebrity awards 2015 kama Best Male actor amegadhabishwa na waandalizi tuzo hizo na akasema kamwe hana haja nazo.

Kupitia akaunti yake ya fesibuku,Shibe alipasua mbarika kuwa ni aibu na fedheha kumlinganisha yeye na waigizaji wanaoibuka.

Huku akitoa ulinganisho wa ucheshi wa Kipchoge Keino na Usain Bolt,Shibe alidai kuwa aliowekwa nao kwenye jedwali la Best Male Actor of the year ni wa filamu fupi na za vichochoroni ndiposa hakuwaambia mashabiki wake wampigie kura manake kamwe hana haja na tuzo hizo na hawezi shindana na aliolinganishwa nao.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA